Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele leo Julai 7, 2025, ametembelea maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba katika Viwanja vya Mwalimu JK Nyerere Barabara ya Kilwa, DAr es Salaam
